Kihongosi amesema changamoto kubwa inayowakabili wananchi wa Mkinga ni suala la upatikanaji wa maji, lakini Rais Dk Samia ...
MANYARA: NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Methew, amezitaka Mamlaka za Maji mkoani Manyara kuhakikisha zinakamilisha ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka ...
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza kutekeleza agizo la Makamu wa Rais la kuwawezesha vijana kupata ...
DAR ES SALAAM: Dk Norga Komba, Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini China, anasema kwa mtazamo wake, ...
DAR ES SALAAM: Kisukari cha mimba kinaweza kusababisha madhara makubwa kwa mama na mtoto iwapo hakitagundulika na kudhibitiwa ...
MBEYA; Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, imeanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vikundi vilivyoshindwa kurejesha mikopo ...
KONDOA, DODOMA: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, mkoani Dodoma, Said Majaliwa kwa kuwa serikali tayari imetumia takribani Sh milioni 154 kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
BUKOBA: Wataalamu na watafiti wa zao la migomba kutoka nchi tisa barani Afrika wamefanya ziara nchini Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika utafiti na uzalishaji ...
MBEYA; Mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya Chunya, unaojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, umefikia asilimia 82 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Novemba 30 mwaka huu ...
DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu ...
Wizara ya Afya inasema Tanzania inatumia mfumo wa District Health Information Software 2 (DHIS2) kama sehemu ya miundombinu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results